×
Corrigir

Lazima Udie

Irony Destroyed

Miaka thirty, nimekuwa neti
Nilidhani wewe ni muriu
Ukaniseti msee
Chenye tunge squander ukajiekea
Ukaniacha kwa ngori wakanidandia
Na leo wameniachilia
Leo ni leo aisee, lazima damu imwagwe
Lazima meno ing'oke
Lazima nioge na machozi
Ulidhani kuwa mimi ni small- minded
Lakini nakutambua, nakucheki
Vi- fucking deadly
Najua mtaa yako, Keja yako
Hata bedroom yako
Ulisahau, kuwa mi ni Yule msee

Ntakupata labda ukilala- Nkuchome
Ntakupata labda ukihanya- Niwachome
Na najua, ya kuwa utakuwa, ukilia kwa huruma
Machozi ya mamba, hayapati huruma
Eti nikusare bila bare?
Nikitumia hiyo dagger, uliachanga kwa mgongo
Kukutoa uhai, Eti nikusare bila bare?
Hahahaha
Nakucheki kwa macho
Nkiseti hii nare
Moto ukiutumia mwili wako
Misisimko
Nahisi
Oh
Lazima Udie






Mais tocadas

Ouvir Irony Destroyed Ouvir